Mabanda ya wamachinga eneo la Soko
Karume yameungua kwa moto usiku wa kuamkia leo. Moto ukiwa ni mkali sana,ambapo umeleta athari kubwa sana.
Hali bado ni tete Eneo husika, Fire walifika katika eneo la tukio na kuondoka
baada ya kukubali kushindwa, hakuna walichoweza kuokoa. Nguzo za umeme
zimeungua pia. umati wa watu ukiwa ni mkubwa sana, huku baadhi wakiwa wanalia kwa uchungu
wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa. Habari zaidi zitawaijia kupitia @Ngessa Blogspot.....Stay Tuned.
No comments:
Post a Comment