Kuna
wengi watakuwa wameshaisikia hit mpya ya Diamond Platnumz ambayo
ilivuja, hit hiyo ilipewa jina la KITORONDO awali , kabla haijatoka rasmi labda Diamond mwenyewe ameamua kuiachia rasmi ngoma hii leo kupitia radio station tofauti tofauti hasa jijini dar es salaam,
Iangalie Video ikimuonyesha Diamond,madansa wake na mama yake mzazi wakiifurahia hit hiyo kabla ya kuruhusiwa kuchezwa kwenye radio station nchini.
NB:-
Iangalie Video ikimuonyesha Diamond,madansa wake na mama yake mzazi wakiifurahia hit hiyo kabla ya kuruhusiwa kuchezwa kwenye radio station nchini.
NB:-
kupitia
video hii hapa chini utaweza kumuona Diamond Platnumz akiwa na Rome J
pamoja na Dancers wake Nyumbani wakicheza ngoma hiyo huku mama mzazi wa
Diamond akitoa support ya kucheza wimbo huo kwa mbali.
Kujionea zaidi tazama video hapa chini sekunde chache tu na wala aitokuchosha
No comments:
Post a Comment