Thursday, 12 June 2014

EXCLUSIVE INTERVIEW YA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA TUZO ZA #MTVMAMA 2014 [VIDEO]

Baada ya Tuzo za MTV Mama 2014 zilizofanyika Durban South Africa, mtangazaji Sam Misago alipata nafasi ya kufanya Interview ya kwanza na Diamond Platnumz kuhusu Tuzo hizo, mategemeo na kinachofuatia kwenye muziki wake. Angalia Video hapo chini.

No comments: