Fuatilia Video ya Mahojiano ambapo mwanamuziki wa Muziki wa Injili FLORA MBASHA amefunguka kisa kizima juu ya yeye kumkimbia mumewe baada ya Sakata zima linaloendelea katika Ndoa yake,ambapo mumewe Mbasha anashitakiwa na jamhuri kwa kosa la kumbaka shemejie wa umri wa miaka 17,
2 comments:
Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ni mumeo, inawezekananje ukae kwa watu, mpaka usiku mkali na uamue ulale huko huko kwa kisa cha kuogopa kurudi nyumbani? huoni wewe ndio ulipelekea hilo tatizo kuwa kubwa zaidi? Huyo ni Mume wako wa Ndoa na mlipoaapa mlikubali kuwa mtakua pamoja katika shida na raha, kwann tatizo kama hili linapotokea msimtegee Mungu zaidi? Mchungaji wako alichukua hatua gani ya kuwapatanisha? Kama Mwanamke simama katika nafasi yako, Jamii iliyokua inawaheshimu na kutambua hofu ya MUNGU kupitia uenezaji wa neno la MUNGU kwa njia ya uimbaji imepoteza uaminifu wake kwenu tena. Yahitaji Macho ya rohoni kuliona hili. Nakushauri uitambue NGUVU YA MSAMAHA aliyoiimba Ambwene Mwansongwe katika album yake ya MISULI YA IMANI. Vile vile kumbuka wimbo wako wa Maisha ya Ndoa. MUNGU AKUPE NEEMA KATIKA KUMALIZA HAYA YOTE.
Post a Comment