The big boss wa TMK Family & Mkubwa na Wanawe Said Fella kwa sasa ameingia kwenye uvumi
ulioenea kuwa yeye anachangia kwa kiasi kikubwa kuwadidimiza wasanii ambao wanakuwa na
bifu naye ili wasiweze kusikika tena, hapa Fella anafunguka juu ya tuhuma hizo.
”Sio kweli mimi siko hivyo kabisa na ninashangaa sana watu wanaosema kuwa nina wadidimiza wasanii niliokuwa na Bifu nao ili wasiweze kusikika tena kwenye game wakati sio kweli, mimi sina tabia hiyo kwa hiyo watu wasinifikirie hivyo kwani mimi ninapenda sana muziki wetu uzidi kukua na kufanya vizuri tuwe na wanamuziki wa kimataifa.” alisema Said Fella

No comments:
Post a Comment