Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua Msanii Manaiki Sanga a.k.a
The Don ameibuka na kumuumbua vibaya msanii mwenzake Diana Kimario ambaye
siku za hivi karibuni amekuwa akijitangaza kama yeye ni bikira yani
hajawahi kuguswa na mwanaume kwa kushiriki tendo la ndoa.
Jambo hilo limepingwa vikali na Manaiki ambaye anadai ameishi na Diana kama mkewe zaidi ya mwaka na nusu huku Mamaake Diana anayeishi Manzese akiwa shahidi namba moja.
Jambo hilo limepingwa vikali na Manaiki ambaye anadai ameishi na Diana kama mkewe zaidi ya mwaka na nusu huku Mamaake Diana anayeishi Manzese akiwa shahidi namba moja.
Akiongea na paparazi Tanzania Manaiki Sanga alisema" Huu ni uongo
uliokithiri huyu demu amewadanganya watanzania yani anasema yeye bikira?
Au bikira ya wapi huenda sijaelewa mie?
Lakini kama suala la mapenzi ya kawaida mimi nathibitisha kuwa hana
ubikira wowote amewahi kuwa mke wangu zaidi ya mwaka mmoja na ilikuwa
nimuoe kabisa lakini nilikuja kuchemka mwenyewe" Alisema Manaiki. Aidha
mtandao huu ulimtafuta Diana ili kujibu hoja ya Manaiki Sanga lakini kwa
bahati mbaya hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani na
kuwafikia wasomaji wetu makini.
No comments:
Post a Comment