Tuesday, 8 July 2014

BRAND NEW SONG BY SARAHA-Shemeji.

Msanii SaRaha kutoka Sweden ila mara kwa mara makazi yake huwa ni Tanzania, leo ametoa wimbo mpya unaoitwa SHEMEJI. Wimbo huu umefanywa na producer mmoja kutoka Sweden anaitwa Memo Crescendo. Pia SaRaha anafanya video ya wimbo huu na kampuni ya The Dream Production (Director ni Raymond Kasoga) na anasema video itakuja siku za karibuni so mashabiki wa SaRaha mkae mkao wa kuona kitu kizuri.

No comments: