Saturday, 5 July 2014

DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI{VIDEO}

MKONGWE wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini a.k.a'Dudubaya' anasakwa na polisi kwa RB namba OB/RB/11650/2014 ,hii ni kwa kosa la "KUTISHIA KUMUUA" mganga wa jadi Bi,Mery Kapalisya ambaye inadaiwa alikuwa akiishi naye kama mkewe.
Taarifa{VIDEO}hii hapa,

No comments: