Wednesday, 2 July 2014

EXCLUSIVE AUDIO: SAUTI ZA DJ FETY, ADAMU MCHOVU NA B12 WAKIDUNDANA STUDIO HUKU WAKISAHAU KUWA WAPO HEWANI LIVE MCHANA HUU

Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana huu katika studio za Clouds Fm ya jijini Dar es salaam, ambapo sauti zilizonaswa zinasikika Dj Fety akibishana na B12 kuhusu kulaunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea muda wa mchana huu kwenye kipindi cha xxl..  sikiliza hapa
SOURCE-Rothbeatz909{Twitter}

No comments: