Atimaye Mwimbaji wa kike nchini Linah Sanga amefunguka na kuweka bayana kuwa yuko mbioni kumtambulisha mpenzi wake kwa mashabiki.
Linah aliyasema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, “nampenda mpenzi na siku ikifika, nitaamua kumweka wazi ili mashabiki wamtambue.

No comments:
Post a Comment