![]() |
Ameniel Eligaeshi |
Akizungumza na kituo hiki Mkuu wa kitengo cha uhusiano Ameniel aligaesha
amesema wamepokea viungo hivyo vya binadamu vilivyopelekwa katika hospitali hiyo na maafisa wa Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi.
Aidha amezungumzia hofu iliyojitokeza miongoni mwa baadhi ya wananchi kuhusisha hospitali hiyo na viungo hivyo huku akibainisha wazi kuwa uchunguzi bado unaendelea nao ni miongioni mwa wanaochunguza.
No comments:
Post a Comment