MAJERUHI WA MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA LEO JIJINI ARUSHA,KWENYE MGAHAWA WA {TRADITIONAL INDIAN CUISINE},WAKIWA KATIKA WODI YA WATU MAHUTUTI"ICU" KWENYE HOSPITALI YA SELIAN JIJINI HUMO KWA MATIBABU ZAIDI.
| Pichani majeruhi wa tukio la mlipuko wa Bomu jijini Arusha Bw,Deepak Gupta aliyejeruhiwa vibaya mguu wake wa kushoto akiwa amekatwa mguu huo kutokana na mguu huo kuharika vibaya. |
No comments:
Post a Comment