![]() |
Elizabeth Michael"Lulu" |
MAKUBWA! Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ imeibua mazito kufuatia Jeshi la Polisi Dar es Salaam kubaini kuwa namba ya Sanduku La Posta (SLP) iliyoandikwa kwenye kadi hiyo ni Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania.
![]() |
Gari mpya ya Msanii Elizabeth Michael"Lulu aina ya RAV4{New Model}iliyoleta utata ambapo Nyaraka zake zikionyesha kumilikiwa kwa Anuani za Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania. |
No comments:
Post a Comment