Wednesday, 27 August 2014

"HABARI YA MUJINI"JUX-UZALENDO WAMSHINDA .

JUX & VANESSA MDEE

Habari ya mujini ni Jux na V Money watu pipooo, mahaba ninyonge ni kill kabisa, Jux aliimba nitasubiri akimlenga aliyekuwa mpenzi wake mwanamitindo Jackie Patrick aliyekamatwa na yanayosemekana kuwa ni Madawa ya kulevya nchini China,ila kwa sasa inaonekana kama uvumilivu umemshinda mwayego na kaamua kukamata mtoto mulito anayekuja kwa kasi katika anga la music V Money- uwiii chezeya wapareee wewe full mipagawisho, so all pares can call Jux Vuitton shemeji , ila kumvumilia mtu ambaye hujui lini atatoka nayo yataka moyo jamaniii tusimlaumu sana Jux hata kama ingekuwa wewe nahisi haya yangekutokea pia.
Jux Vuiton & Jackie katika mapenzi yao.
Source-www.sintah.com

No comments: