Saturday, 30 August 2014

MTANGAZAJI LA CLOUDS FM (LOVENESS DIVA) AVUJISHA MESSAGE ZA ZITTO KABWE AKIMTONGOZA


Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, hivi karibuni baada ya zitto kumkana Diva mtangazaji wa alla za roho wa clouds FM, Kuwa hajawahi kuwa naye kimapenzi na Diva amekuwa akijitangaza sana amekuwa naye kimapenzi, sasa Diva ameamua kamuanika hadharani ushahidi wote,ona hapo chini, ila duu huyu mwanamke ni kiboko,salaleeeeee
Source-Le Mutuz{Blog ya Wananchi}

No comments: