Saturday, 30 August 2014

MREMBO WA MISS MWANZA AFARIKI DUNIA.


Former Miss Mwanza Number Two Model na Mtangazaji wa tangazo la biashara la Nywele za Rasta za Kampuni ya Darling, harusi yake ilikuwa njiani kwenye matayrisho makubwa huku Mchumba wake akihaha huku na kule kutayarisha harusi yao, majuzi akamuaga Mumewe mtarajiwa anakwenda kumuona Dada yake na atalala huko huko, kesho yake yaani jana haya ndiyo yaliyotokea amefariki kwenye ajali akiwa na bwana mwingine kabisa ambaye naye amefariki so mchumba sasa haelewi na haamini kama ni kweli alichokisikia na kukiona kwenye picha hizi hapa chini!!
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU PEMA PEPONI........LABDA HAWA NDIYO WALIKUWA WAKIPENDANA KIKWELI.

No comments: