Wednesday, 20 August 2014

PICHA-DRAKE & RIHANNA WAJIACHIA PAMOJA CLUB


Rihanna na Drake wamerudi tena kwenye vichwa vya habari baada ya kuonekana wakiwa pamoja Griffin Night Club ya New York, Jumapili usiku. Wasanii hao wamezua hisia kuwa huenda wamerudiana tena hasa baada ya kuingia katika club hiyo kwa wakati mmoja, wakawa karibu na wakaondoka wote majira ya saa kumi alfajiri
Hata hivyo, Drake na Rihanna waliwahi kuonekana katika hotel moja hivi karibuni baada ya kufanya show na kuperform ‘Take Care’ huku Rihanna akionyesha uchokozi wa hali ya juu.
Habari hizi zinakuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Chris Brown na Karrueche Tran kurudisha uhusiano wao kama zamani.

No comments: