RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Monday, 18 August 2014
PICHA-Mh,RAIS J.M.KIKWETE AMPONGEZA MWANAFUNZI ALIYESHINDA SHINDANO LA KUANDIKA INSHA{SADC}
Mh,Rais J.M.KIKWETE katika Picha ya pamoja na mwanafunzi NEEMA MTWANGA.
Rais Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha 4, Neema Mtwanga
mwenye umri wa miaka 16 wa shule ya Sekondari Naboti iliyopo mkoani
Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utunzi wa Insha katika
shindano lililoandaliwa na SADC.
No comments:
Post a Comment