![]() |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigonganisha glasi {Cheer's}na mjukuu wake Nicole katika mkusanyiko mdogo na mfupi sana wa kifamilia wa kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwenye makazi yake kwenye hoteli ya Stella Maris mjini `Dodoma juzi August 12, 2014. Wengine pichani ni binti zake, Namsi (kulia) na Yusta.

No comments:
Post a Comment