Friday, 15 August 2014

DIAMOND ASHINDA TUZO NYINGINE NCHINI BURUNDI.


CV ya Msanii Diamond Platnumz{TZ} katika muziki inazidi kupanda na mwaka huu unaweza kutajwa kuwa ni mwaka wa tuzo kwa mwimbaji huyo ambaye amevuka mipaka na kuzinyakua au hata kutajwa tu kuziwania .Wimbo wa "My Number One" wa Diamond umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Afrika Mashariki katika tuzo za Burundi zinazojulikana kama TTM Awards..
kwa hili tunampongeza sana Diamond kwa kuipeperusha vyema bendera ya TANZANIA....

No comments: