Friday, 12 September 2014

Wimbo Mpya: Mwana Dar es Salaam- Ali Kiba (extended Version by Xpandabledjz)


Wimbo wa Mwana Dar es Salaam wa Ali Kiba unaendelea kufanya vizuri kwenye media na hata mitaani. Xpandablez DJ wameiunda extended version ya ngoma hii. Isikilize Hapo chini,

No comments: