Monday, 13 October 2014

BILIONEA REGINALD MENGI, MKEWE K-LYINN NA MASTAA WENGINE WALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YA MAPACHA WAO!


Siku ya kuzaliwa watoto mapacha wa aliyekuwa miss Tanzania Jackline aka K-Lyinn...
Kupitia mtandao wa INSTAGRAM K-Lynn ametupia picha za Birthdayparty hiyo na maelezo yake...
Kama kawaida Faraja, Nancy nao walikuwepo kuungana na Jackline!!!.
and Ry's Birthday preps ������������������

����������������Jay and Ry's 2nd Bday venue looks like this..

No comments: