Thursday, 23 October 2014

Enzi za Sitti before Miss TZ 2014 (Graduation Party)Desemba 2013


Enzi za Sitti kabla ya kuwa Miss TZ 2014 (Graduation Party) Desemba 2013. Kwa mujibu wa Leseni na passport yake (copy attached) Sitti alizaliwa tarehe 31 Mei, 1989. Mpaka mwaka jana kwenye Graduation yake Sitti alikuwa na umri wa miaka 25.Angalia picha zake za graduation akiwa na wazazi, ndugu pamoja la marafiki zake
Picha Sitti Mtemvu akiwa na baba na mama yake siku ya graduation yake.

Driving Licence-ya Sitti Mtevu
Birth-Certificate ya Sitti Mtemvu inayoleta utata kuhusu ukweli kuhusu umri wake.

Sitti Mtemvu akijiachia na marafiki zake siku ya birthday yake.


No comments: