Friday, 10 October 2014

PICHA-BIRTHDAYPARTY YA CHEGE JANA.


Hizi ni baadhi ya Picha Za Birthday Party Ya Chege Chigunda aliyofanyiwa siku ya jana na marafiki zake,Party hiyo ilifanyika maeneo ya kinondoni usiku wa kuamkia 9/10/2014.Wasanii waliohudhuria ni pamoja na Madee, Temba, Diamond, Aslay, Maromboso, Shilole, Nuh Mziwanda na Wengine wengi. wakiwemo Ma Dj wa radio tofauti za jijini Dar es salaam....



No comments: