Friday, 10 October 2014

Picha za Trafiki wa Kike Aliye Uhusika na Picha ya Busu Kichakani Akiwa Hana Sare za Polisi Zazagaa Mtandaoni Instagram


Wadau wangu leoNimekutana na Hiyo Picha Mtandaoni Instagram, Hii ni Picha mchanyato ya yule Askari Polisi wa Kike {Traffic},Yaani Watu wamechimba Mpaka Wamepata Picha zake Akiwa Bila sare za Kazini....
 Baadhi ya Comment ni Hizi Hapa : -
"mwambie alete CV mi ntamwajiri"
 -"Aje kwangu atalelewa kuliko alivyokuwa huko!"
Contact pls -Kajazia Sana hata Ingekuwa Mimi Ningekula Mzigo, hiyo ni ajali kazini

No comments: