Friday, 31 October 2014

PICHA- KILELE CHA MIAKA 50 YA BAND YA MSONDO NGOMA{BABA YA MUZIKI}VIONGOZI WA BAND WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kupiga picha ya pamoja na na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete kufanya naye mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya tasnia ya muziki nchini. Bendi hiyo kongwe imetimiza miaka 50 mwezi huu.

No comments: