Thursday, 27 November 2014

ALIYEKUWA MCHUMBA WA MUHESHIMIWA AFUNGUKA SABABU ZA YEYE KUJIENGUA KWENYE PENZI LA MUHESHIMIWA.

Faiza Ally
ATIMAYE ALIYEKUWA MKE MTARAJIWA WA MUHESHIMIWA JOSEPH DESDERIUS MBILINYI a.k.a Mr II-SUGU{CHADEMA} BI,FAIZA ALLY AMEAMUA KUFUNGUKA BAYANA JUU YA SINTOFAHAMU ILIYOTANDA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA MUHESHIMIWA HUYO AMBAPO KWA SASA WAWILI HAO HAWAKO TENA KIMAPENZI NA MAHUSIANO YAO YAMEBAKI KUWA HISTORIA,
KATIKA POST YAKE ALIYOITUMA MTANDAONI FACEBOOK FAIZA ALLY ALIKUWA NA HAYA YAKUSEMA JUU YA UKWELI JUU HILO,
"
Sasa leo ngoja nifunguke.... Yaani nikiweka picha zangu kwa raha zangu mnaanza kusema oh ndio maana SUGU kakimbia ndio maana kaniacha Nasema hivi MIMI NDIO NIMEMUACHA mkome kunisema nimeachana na nimemuacha tukiwa kwenye process za ndoa na tulisha kutana na padri na kwenye jumuiya nilisha anza ..... Kuna vitu vikinifanya niondoke kabla ya ndoa ambavyo vitabaki kuwa vya kifamilia ....... Nyie mna muona sugu Kama si mtu wa kawaida mm namuona Kama alie kuwa mpenzi wangu na Sasa ni baba wa mtoto wangu .... Lkn anajua ubora wangu na faida zangu Pumbavu zenu yote mnao zani niliachwa tena kwa mavazi anajua na anapenda mavazi yangu ..... Nachukia kuamka asubuhi na kukuta comments za kusemwa vibaya.... Nyie mnajua tabia zake ????? Au mnamuona kwa mbali ?????

HIVI NDIVYO ALIVYOFUNGUKA FAIZA ALLY.

No comments: