![]() |
| Mr Okoye. |
Mapacha wawili kutoka nchini Nigeria Peter Okoye &Paul Okoye "P- Square" pamoja na kaka yao Jude Okoye,Jumatatu ya Nov 24 walimpoteza mzazi aliyebakia ambaye ni baba yao mzazi hii ni baada ya miaka miwili kupita tangu afariki mama yao mzazi.
![]() |
| P-SQUARE |


No comments:
Post a Comment