Friday, 14 November 2014

BREAKING NEWZ JENGO LA MACHINGA COMPLEX LINAWAKA MOTO.

JENGO MAALUM KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA WADOGO{MACHINGA} JIJINI DAR ES SALAAM"MACHINGA COMPLEX" LILILOPO MAENEO YA ILALA KARIBU KABISA NA UWANJA WA MPIRA WA "KARUME STADIUM"LINAWAKA MOTO,SABABU HALISI ZA MOTO HUO BADO HAZIJAJULIKANA,
TARATIBU ZA KUUZIMA MOTO HUO ZINAENDELEA,KWA HABARI NA PICHA ZAIDI JUU YA TUKIO HILI ZITAWAJIA MUDA SI MREFU KUPITIA BLOG YAKO YA https://www.Ngessa blogspot.com

No comments: