Tuesday, 11 November 2014

JK AENDELEA VYEMA BAADA YA UPASUAJI NCHINI MAREKANI.

Afya ya Rais Kikwete inaendelea vizuri na jana alianza mazoezi ya kutembea baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume, nchini Marekani juzi!
(Pichani juu: Rais Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Marekani jana)

No comments: