Tuesday, 11 November 2014

AMIGOLAS AZIKWA RASMI MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR.

MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki juzi  amezikwa Jana mchana katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuria na mamia ya watu.

AMIGOLAS AZIKWA RASMI MAKABURI YA KISUTU, DAR

Msanii wa Filamu nchini, Jacob Steven 'JB' (wa pili kutoka kulia) akielekea makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Mjane wa marehemu, Bi Modesta Emmanuel akiwa amezimia msibani.

Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakilia msibani.

Mkurugegenzi wa ASET, Asha Baraka akiwa msibani.
Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukibebwa na waombolezaji kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Waombolezaji wengine wakijiandaa kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Viongozi wa dini ya Kiisilam wakiomba dua mara baada ya kumzika marehemu Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ kwenye makaburi ya Kisutu Jijini Dar .

Hili ndilo kaburi alimozikwa Marehemu Khamis Kayumbu ‘Amigolas’.

 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere 'Steve Nyerere' akiwasili msibani.

No comments: