Cristiano Ronaldo akiwa kwenye mavazi ya kiislam akipiga picha na mashabiki huko Dubai.
Vazi lingine alilovaa mchezaji Cristiano Ronaldo akiwa kwenye matembezi yake binafsi Dubai. Mchezaji huyo alikaa Dubai kwa siku nne wiki ilopita na baadae aliondoka kurejea Hispania ambapo alijiunga na wachezaji wenzake kwenye kambi ya maandalizi ya mechi zilizoendelea katika ligi ya ichi hiyo amakochezea.
Mchezaji nyota wa mpira wa miguu anayeichezea timu kubwa tajiri duniani
Real Madrid alionekana akipiga picha na mapaparazi kwenye matembezi
yake binafsi jijini Dubai akiwa amevalia mavazi ya Kiislam na yaliyompendeza
sana.
Cristiano Ronaldo ambaye yeye si Muislam lakini alipendezwa na uvaaji
huo kwani alisema aliona watu wengi waishio Dubai ndio vazi lao kuu na
kwanini yeye asiwe miongoni mwa waliovaa vazi hilo. Pia hakuwahi kuvaa
vazi la dini hiyo alionelea avae kwa ishara ya kuiheshimu dini hiyo na
kuona sio kitu kibaya kuwa miongoni kwao kimavazi.
Cristiano Ronaldo akiwa kwenye vazi jingine la kiislamu huko Dubai
Mchezaji huyo alikuwa Dubai wiki iliyopita kwenye mapumziko yake binafsi
mbali na shughuli za kimpira. Alienda kutembea huko kabla ya wiki ya
sikukuu za christimas. Alionekana ni mwenye kufurahishwa na mandhari ya
mji huo pia utamaduni wao wa chakula pia kimavazi ndio mana nae
alipendezwa kuvaa kama wao.
Vazi lingine alilovaa mchezaji Cristiano Ronaldo akiwa kwenye matembezi yake binafsi Dubai. Mchezaji huyo alikaa Dubai kwa siku nne wiki ilopita na baadae aliondoka kurejea Hispania ambapo alijiunga na wachezaji wenzake kwenye kambi ya maandalizi ya mechi zilizoendelea katika ligi ya ichi hiyo amakochezea.
No comments:
Post a Comment