Japokuwa bado kuna baadhi ya watu hawaamini kuwa mwigizaji Wema
Sepetu yupo kwenye mahusiano ya kimapezi na mwanamziki Ommy Dimpoz, eti
wana-shoot video!!, sasa ukweli unazidi kujitokeza siku hadi siku.
Siku ya jana msanii Ommy Dimpoz alitupia picha hiyo hapo juu kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram, na kuandika kipande cha maneno kutoka kwenye moja ya nyimbo za Yamoto Band.
“Inzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda......”
Haikuishia hapo, muda kidogo akatupia kipande cha video akiwa na Wema kwenye bajaji huku Wema
akim-BLESS ma-KISS yakutosha…kama unavyoona kwenye picha hapo juu.
Sasa jamani hivi hiyo KUSHUTI hadi kwenye bajajiiii?!!!
Jamani tuwatakie tu kila la kheri kwenye PROJECT yao.
"Mzee wa Ubuyu"

No comments:
Post a Comment