Huyu ndiye kijana aliyekamatwa leo Clouds, kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa kutumia majina ya wafanyakazi
wa Radio Clouds ya jijini Dar es salaam akiwemo Meneja wa Radio hiyo Bw,Ruge Mutahaba akijifanya yeye ndiye kiongozi wa
idara ya muziki ya Clouds fm na kuwatapeli wasanii chipukizi kwa kuomba
rushwa ya hela ili nyimbo zao zichezwe redioni hapo.

No comments:
Post a Comment