![]() |
| Vincent Kigosi ‘Ray’ |
Ray alifikia hivyo baada ya mtu mmoja kuwashutumu wasanii wakubwa kuwa wamekuwa mabingwa wa kuiga filamu kutoka nje yaani (Copy and paste) wakati wakijadili filamu ya Mzee wa Swaga ya JB iliyoigwa kutoka katika moja ya filamu ya kihindi na kuzua mjadala.
“Hakuna wazo jipya mtu unaweza kufanya na likawa la kipekee, hadithi zinaweza kufanana lakini si hadi dialogue, kuna mtu anadai filamu yangu ya V.I.P nimeiga kutoka sinema ya Ghana, sasa mimi nasema mtu ambaye ana filamu niliyoiga aje nayo ofisini nitampatia milioni moja,”anasema Ray.

No comments:
Post a Comment