Filamu iliyotayarishwa nchini Ghana nakushirikisha msanii wa filamu
kutoka Tanzania Wema Sepetu na Muigizaji Van Vicker kutoka Ghana
imekamilika na hii ndio trailer yake.
Filamu hii inaitwa ‘Day After Death’ D.A.D Imeongozwa na Van Vicker kupitia kampuni ya Sky + Orange Productions pamoja na Endless Fame Production
Filamu hii inaitwa ‘Day After Death’ D.A.D Imeongozwa na Van Vicker kupitia kampuni ya Sky + Orange Productions pamoja na Endless Fame Production
No comments:
Post a Comment