Wednesday, 25 March 2015

PICHA-Zari "The Boss lady" ndani ya nyumba mpya ya "Diamond Platnumz".

Zari the boss lady ameshare picha ya chumba cha kulala kwenye jumba la kifahari la Diamond Platnumz lililopewa jina ‘[State House]. Zari aliweka picha ya Gypsum ambayo imetengenezwa peke kwaajili ya Diamond Platnumz huku ujumbe ukisema [Gotta love ny current view]

No comments: