Brand New Song By QUICK ROCKA-Sophia Reggae Remix
Baada ya Peter Msechu kufanya cover yake ya wimbo wa Ben Pol ‘Sophia'
Quick Rocka amekuja na yake ila iliyopo kwenye mahadhi ya reggae.
Switcher ameyabadilisha pia majina ya maeneo yaliyotajwa na Ben Pol
kwenye Original Version na kuweka majina ya Mbeya anapotokea.
Enjoy!!
No comments:
Post a Comment