“Minashindwa kuwaelewa watu ni kwanini mnapenda sana kutaka
kutoa kibanzi kwenye jicho la mtu wakati kipande chamti kiko kwenye jicho
lako.....nimeumia sana na maneno ya wema,mtoto anapanga MUNGU sio
binadamu .....Embu mwacheni mtoto wa watu sasa awena amani kila siku
mnamsema yeye mmnazani anachuma nini Ana moyo,afu kuna watu wanapenda sana
kudandia mambo ........mmedandia weweee mme mtukana mtoto wawatu
minaomba niwape namba ya MUNGU mumuulize yeye kwanini na mumuache mtoto wa
watu!sipendagi kuingilia mambo ya watu lakini hii imezidi sasaaaaa!!!!!sio
vizuri jiwekeni nafasi yake muone kama hamjajinyonga!
WEMA kiukweli unamoyo wa kishujaaa sana napenda sana mwanamke awe hivyo MUNGU ndo ana majibu yote achana nao wenye kudandia yasiyo wahusu maana watajikuta wapo kama pweza wana miguu lakini kusimama hawawezi.....”-
Irene Uwoya ameandika kwenye ukurasa wake mtandaoni.
Hii ni baada ya Wema hivi majuzi kufunguka mtandaoni kuwa anatamani sana kuwa na mtoto lakini huwezo hana.

No comments:
Post a Comment