Jana ikiwa ni siku ya Ijumaa kuu, Staa mkubwa kabisa wa Bongo Movies,
Jacob Stephen ‘JB’ ame-share nasi picha hizi akiwa nyumbani kabisa kwa
mzee wake.
Katika maelezo yake JB amesema kuwa siku kama ya leo huwa wanautaratibu kama familia kwenda kanisani pamoja.
“Leo niko nyumbani kwa mzee, Ijumaa ya pasaka tuna utaratibu wa kwenda kanisani wote” JB aliandika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu akiwa na mzee wake.
Picha hiyo nyingine JB alieleza kuwa huyo ni mdogo wao wa mwisho anaitwa Ninaclara.
Inapendeza sana kaka JB.

No comments:
Post a Comment