Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael
‘Lulu’ ameweka tena picha yake mtandaoni (hiyo hapo juu)akionekana
mjamzito, hii ni mara ya pili baada ya hivi juzi kati kuweka picha ya
mwanamke mjamzito bila kuonyesha sura yake, kitendo ambacho kilionekana
kuwa sio yeye na niuongo kwani siku hiyo ilikuwa ni siki ya wajinga
dunia.
Hata hivyo bado watu wengi hawajaamini kuwa mrembo huyo kwasasa ni mjamzito na hata lulu mwenyewe hajaweka wazi kuwa kwasasa ni mama kijacho japo wanasema “kusoma haujui hata kuona picha?”.
Wachache wanaohisi kuwa hizi ni picha akiwa anarekodi filamu kwa hoja kuwa tumbo la mimba huwa halipo hivyo, hawa wanaweza kuwa wanakaribia kwenye ukweli.
Tuendelee kusubiri.

No comments:
Post a Comment