Saturday, 11 April 2015

Picha:TBT ya Wema yazua Minong'ono mingi.

Leo ikiwa ni ile siku ya mitupo ya nyuma  yaani ThrowBackThursday ambapo watu hutupia picha zao za zamani  kwenye mtandao wa Instagram, Staa mrembo Wema Sepetu  ametupia picha hiyo akiwa na mastaa warembo wenzake, Jackline Wolper na Irene Uwoya.
Wema aliweka picha hiyo na kuiandikia  “TBT With My Girlzzz”  kisha akawa tag Wolper na Uwoya.
Mbali na picha hii kuleta malumbano ambayo hayakuwa na tija, Swala la urafiki uliokuwepo zamani kati ya wadada hawa  na  jinsi walivyo hivi sasa ndio lilizua mjadala mrefu miongini mwamashabiki huku wengi wakipenda warembo hawa wawe karibu kama zamani japokuwa ni ukweli kuwa muda unavyokwenda na marafiki huwa wanabadilika.
Wewe mdau umeionaje hii
TUTUPIE COMMENT YAKO HAPA>>>>https://www.facebook.com/Ngessakinollo

No comments: