RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Sunday, 7 June 2015
filamu ya kwanza kutengenezwa Bongo na kuingia kwenye Headlines kubwa Uingereza !!
Niliwahi kukusogezea story kuhusu Movie
ya Going Bongo ambayo uzinduzi wake ilikuwa APRIL 11 2015 maeneo ya
Tegeta, DAR.. headline nyingine kuhusu uzinduzi ni hii ambayo nimekutana
nayoDaily Mail Online..
Headlines inahusu ilivyokuwa kwenye uzinduzi huo ndani ya London Uingereza.. mastaa wengi wa Uingereza walitokezea kwenye Red Carpet ya uzinduzi huo na kufanya story hiyo kupata headlines zenye ukubwa wake mitandaoni.
Wadada mapacha, Amyna Sally Broadbent nao walionekana kwenye Series ya TOWIE
Gemma Oaten, mwigizaji ambaye ameonekana pia kwenye Series ya Emmerdale
Grace Andrews.. Huyu ni staa pia ambaye aliwahi kuigiza katika Series ya TOWIE.
Lizzie Cundy.. Huyu ni mwanamitindo na mtangazaji wa TV mwenye jina kubwa ndani ya UK.
No comments:
Post a Comment