Sunday, 7 June 2015

Video,Chris Brown alivyong’ang’ania kuingia kwenye gari la X Wake "Karrueche Tran".

Drama za "Chris Brown" na X wake "Karrueche Tran" zimeendelea baada ya wawili hawa kujikuta wakikaa kwenye meza jirani kwenye club kubwa ya Playhouse huko Hollywood na wote kuamua kuodoka kwa wakati mmoja kuepuka ugomvi.
Kwa mujibu wa TMZ, Chris alijikuta kwenye eneo la VIP Na X Wake Karrueche kitu ambacho hakikupangwa na wote wawili bali club hiyo.
Baada ya Karrueche kuona hali hiyo aliamka na kutoka nje huku Chris Brown akimfuata mpaka kulazimisha kuingia kwenye gari yake.
Hii ndio video yenyewe.

No comments: