Monday, 15 June 2015

Kcee wa Nigeria amshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo wake mpya ‘Love Boat’.

Kaa tayari kabisa kuisikiliza kazi nyingine mpya ya kutoka Nigeria itakayomuhusisha msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz. Ni msanii Kcee amethibitisha kuwa amefanya wimbo na Diamond Platnumz na umepewa jina "Love Boat". 16 June 2015 Saa Saba mchana ya Afrika mashariki wimbo utatoka na video ni baada ya wiki mbili .

No comments: