Katika toleo la Mwanzo kabisa la gazeti la Sema Usikike chini ya Mshana
liliandika habari kuwa Waziri mkuu wa zamani Tanzania ni Shoga!
Katika gazeti la Sema Usikike la tarehe 10/2/2009 kuna habari kwamba Waziri mkuu wazamani amemuweka kimada mbunge moja shoga kutoka magaribi. Kwa waheshimiwa wabunge habari hii siyo ngeni kwa
Kufuatia habari hiyo kiliitishwa kikao pale Karimjee Hall na MCT wakakemea habari hizo kwa kuziita kuwa zinatokana na Yellow Journalism lakini Mshana alisimama na kutetea kuwa ana Ushahidi.
Kigogo aliyekuwa analengwa alitishia kwenda mahakamani lakini hakufanya hivyo!
"Waziri Mkuu wa Zamani amuweka Mbunge Kimada' Akimaanisha waziri mkuu mwanaume kamuweka mbunge mwanaume kimada!
Katika gazeti la Sema Usikike la tarehe 10/2/2009 kuna habari kwamba Waziri mkuu wazamani amemuweka kimada mbunge moja shoga kutoka magaribi. Kwa waheshimiwa wabunge habari hii siyo ngeni kwa
Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada shoga
-Shoga mwenyewe ni mwanasiasa mwenzake
-Atanua naye zaidi anapokuwa mjini Dodoma
Waziri mkuu wa zamani anatuhumiwa kumuweka kimada mwanasiasa mwenzake
mwanaume amabye anaaminika kuwa ni shoga na sasa anaelezwa kuwa karibu
naye kama nyumba ndogo ya mheshimiwa huyo.
Habari za muda mrefu zinaeleza kwamba mapenzi kati ya Waziri Mkuu
huyo wa zamani na mwanasiasa huyo shoga si siri tena kwa wengi hali
ambayo imeeleza kutishia hata ndoa yake.
Imeelezwa kwamba kabla hata ya kuingia siasa mwanasiasa huyo shoga
amekuwa na uhusiano wa muda mrefu na waziri mkuu huyo mstaafu tokea
akiwa mtumishi wa taasisi moja ya serikali.
Habari zaidi zinaeleza kwamba mahusiano kati ya wanasiasa hao wawili
yamekuwa yakiwakera hata baadhi ya marafiki wenzao wa karibu ambao
wameelezwa kusikia kinyaa kutokana na mahusiano kati yao wakiwa watu wa
jinsia moja.
Mwanasiasa mmoja aliye karibu na wapenzi hao wawili ameliambia gazeti
hili kwamba kitendo hicho ni uchafu uliokithiri hasa kwa watu ambao
wanapaswa kuwa mfano kwa jamii inayowazunguka.
"Inatia kinyaa maana huu ni uchafu uliokithiri kwa wanaume kuwa
wapenzi tena bila hata aibu. Na kwa kuwa wanaogopwa najua hata wee
hutaandiika" alisema mwanasiasa mmoja aliyeko Dodoma.
Chanzo: Sema Usikike
Kufuatia habari hiyo kiliitishwa kikao pale Karimjee Hall na MCT wakakemea habari hizo kwa kuziita kuwa zinatokana na Yellow Journalism lakini Mshana alisimama na kutetea kuwa ana Ushahidi.
Kigogo aliyekuwa analengwa alitishia kwenda mahakamani lakini hakufanya hivyo!
"Waziri Mkuu wa Zamani amuweka Mbunge Kimada' Akimaanisha waziri mkuu mwanaume kamuweka mbunge mwanaume kimada!

No comments:
Post a Comment