Wednesday, 17 June 2015

NISHA:KAMWE SIWEZI KUMRUDIA NAY WA MITEGO

Salma Jabu ‘Nisha’.

Akizungumza nasi mwishoni mwa wiki, Nisha alisema amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuenea kwa uvumi kuwa ana mpango wa kurudiana naye, jambo alilosema haliwezekani kwani kwake hana tabia ya kula matapishi.
“Siwezi kurudiana na Nay,  kwanza ana mwanamke mwingine na kuzaa naye japo wameachana, mwanzo nilimuogopa sana nikimuona, lakini hivi sasa nimeshamzoea, tumebaki kama kaka na dada, suala la mapenzi haliwezi kujirudia tena,” alisema.

No comments: