Mrisho Ngassa amesafiri hadi South Africa na mpenzi wake kwa ajili ya
mampumziko. Ngassa anategemea kuweka makazi yake hukohuko pia pale msimu
wa 2015/2016 ukianza kwasababu hivi sasa ni mchezaji wa Free State
United ya huko huko S.A. Enjoy kuangalia picha za Ngassa na mpenzi
wake Radhia ndani ya South Africa.
No comments:
Post a Comment