Waziri
mkuu mstaafu katika awamu ya tatu Mh. Fredricky Sumaye ametangaza nia
ya kugombea nafasi ya urais katika kipindi cha awamu ya tano huku
akibainisha vipaumbele vya kukuza uchumi, kupambana na rushwa, kulinda
viwanda na kuboresha kilimo pamoja na kuunda mahakama maalum ya
kushughulikia ufisadi na rushwa.
SAFARI YA UCHAGUZI - STAR TV | JUNE.2.2015Umeona majibu ya Sumaye kuhusu kashfa za radar, uuzwaji wa ndege pamoja na Benki? Hii hapa live.
Posted by Simu.TV on Tuesday, June 2, 2015
SAFARI YA UCHAGUZI - STAR TV | JUNE .2.2015Sumaye aelezea magumu aliyowahi kupitia huku akishangazwa na mgogoro wa wakulima na wafugaji kutoisha kwa mda mrefu.
Posted by Simu.TV on Tuesday, June 2, 2015
SAFARI YA UCHAGUZI - STAR TV | JUNE.2.2015Hatimaye Waziri mkuu wa zamani Mhe. Fredrick Sumaye amebainisha sababu za kutaka kuwania Urais na jinsi anavyofaa.
Posted by Simu.TV on Tuesday, June 2, 2015
No comments:
Post a Comment