Friday, 10 July 2015

AUNTY EZEKIEL AJICHORA MGONGONI KUONYESHA HISIA ZAKE KWA MWANAE NA MZAZI MWENZIE.

Leo Ikiwa Ni 40 ya Mtoto Wake, Aunt Ezekiel Aonyesha Tattoo Yake ya Mpya ya Mgongoni

Staa wa bongo Movies, Aunt Ezekiel kupitia ukurasa wake mtandaoni ameweka picha hii akiwa  amejichora tattoo ya jina la mwanae na mpenzi wake, ikiwa leo  mtoto wake Cookie amefikisha siku 40 tangu kuzaliwa nakuandika haya kwa lugha ya kingereza;

“Reason 2 Live 2 Breath 2 Fight 2 Try 2 Dream and Succeed .To Love to hurt ,Forgetan an 4give.Reason for my existence is Her an Him Ooooooh!
God blessed me with ma my amazing Gal an Boy .And am thankful ..
                            HAPPY 40 DAYS MY WORLD.....”
Kwa tafsiri isiyo rasmi anamaanisha
Sababu ya kuishi, kupumua, kupambana na mafanikio, kupenda na kuumia, kusahau na kusamehe. Sababu ya mimi kuwepo ni wao. Eeehh Mungu! nibariki mimi na wapendwa wangu wawili. Na kwa haya nashukuru
                                  Hongera sana Cookie

Msikilize Aunt Ezekiel akifunguka juu ya hilo hapo chini,

No comments: